CHECK COMMENT YA BILLIONEA WA 20 AFRIKA KWENYE POST YA ALI KIBA

CHECK COMMENT YA BILLIONEA WA 20 AFRIKA KWENYE POST YA ALI KIBA


Staa wa Rock Star Alikiba ambaye anafanya vizuri kwenye game ya Bongofleva husani na video yake mpya ya ‘Seduce Me’ kwa kuweka rekodi ya kufikisha zaidi ya views milioni mbili YouTube ndani ya siku tatu, anazidi kupokea pongezi kutoka kwa watu mbalimbali.
Alikiba
Alikiba ambaye video ya wimbo wake wa ‘Seduce Me’ inafanya vizuri kwa sasa amepata pongezi kutoka kwa mfanyabiashara na bilionea wa 20 Afrika kwa mujibu wa mtandao wa www.forbes.com Mohamed Dewji kupitia ukurasa wake wa instagram.


Mohamed Dewji


MO Dewji amecomment katika post ya Alikiba ya kushukuru mashabiki na watu mbalimbali ambao wamesapoti video yake kufikisha views milioni mbili ndani ya siku tatu katika mtandao wa YouTube.




Post a Comment

0 Comments