Feza: Siasa hapana, kuhusu Wema Sepetu na siasa … (Video)

Feza: Siasa hapana, kuhusu Wema Sepetu na siasa … (Video)

Msanii wa muziki na mtangazaji wa Choice FM, Feza Kessy amesema hapendi kuzungumzia ishu za siasa baada ya kuulizwa akiwa kama shabiki wa Wema Sepetu anauzungumziaje uwamuzi wa malkia huyo wa filamu kuhama CCM na kuhamia CHADEMA.

Post a Comment

0 Comments