Ofisi ya Bunge yamjibu Mh. Mbowe kuhusu milioni 43 zilizochangwa na wabunge

Ofisi ya Bunge yamjibu Mh. Mbowe kuhusu milioni 43 zilizochangwa na wabunge

Ofisi ya Bunge inapenda kuutarifu umma kuwa tayari kiasi cha fedha cha Milioni 43 zimeshatumwa katika hospitali ya Nairobi kiasi kwaajili ya matibabu ya Mhe. Tundu Lissu. Hatua hiyo imekuja baada ya Mhe. Freeman Mbowe kusema kuwa fedha hizo hawajazipata.

Soma taarifu kamili:

Post a Comment

0 Comments