Mwanasheria Mkuu wa chama cha wananchi CUF, Hashimu Mzirai na Naibu Meya wa jiji la Dar es Salaam, Musa Swedi wametangaza kujiuzulu nyazifa zao ndani ya chama hiko.
Mzirai ambaye pia alikuwa mjumbe wa kamati kuu wa chama hiko na Meya Swedi ambaye alikuwa diwani wa Kata ya kiwalani wametangaza uwamuzi huo leo Agosti 18, 2018 mbele ya waandishi wa habari.
Wawili hao wameomba kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM).
0 Comments