Beyonce ameamua kuwaonyesha hadharani watoto wake mapacha.
Muimbaji huyo kupitia mtandao wa Instagram, ameonyesha kuwa watoto hao wana mwezi mmoja tangu wamezaliwa.
“Sir Carter and Rumi 1 month today. ameandika Queen Bey kwenye mtandao huo.
Mapacha hao waliozaliwa ni mmoja wa kike na mwingine wakiume na tayari walishapewa majina ya Sir na Rumi Carter.
0 Comments