Msanii wa muziki Shetta apata mtoto mwingine wa pili baada ya mtoto wake wa kwanza wa kike Qayllah.


Rapper huyo amethibitisha kupata mtoto wake huyo mwingine kupitia mtandao wa Instagram.
Kupitia mtandao huo Shetta ameandika, “Welcome to the World my New born Baby….. /Karibu Duniani mwanangu….!! Asante Mungu kwa huyu mwingine 
sasa @officialqayllah Uache kuringa
#blessings
.”
0 Comments