Dr. Dre kuhusika katika albamu mpya ya Eminem

Dr. Dre kuhusika katika albamu mpya ya Eminem


Katika uzinduzi wa documentary ya ‘The Defiant Ones’, muongozaji wa documentary hiyo, Allen Hughes amezungumzia ujio wa project mpya itakayokuja kati ya Dr. Dre na Eminem.


Allen Hughes amesema kuwa Dr. Dre yupo studio na rapper Eminem wanatengeneza project mpya itakayokuja baada ya albamu yake aliofanya mwaka 2013 ‘The Marshall Mathers LP 2’.

Rapa Eminem amekuwa akifanya kazi nyingi na prodyuza huyo (Dr. Dre) mkongwe ambaye amechangia asilimia kubwa kumfanya ambaye anaunda kundi la N.W.A (Nigga With Altitude).

Post a Comment

0 Comments