Picha: Chemical anavyowatoa udenda vidume

Picha: Chemical anavyowatoa udenda vidume


Chemical anaweza akawashtua mashabiki kutokana na muonekana wake mpya ambao ametokelezea nao katika video ya wimbo wa ‘So Fine’ ambao ameshirikishwa na Msami.


Rapper huyo ambaye mara nyingi ameonekana katika muonekano wa kupigilia mavazi ya kiume, katika picha ambazo ameziweka katika mtandao wa Instagram ambazo zinamuonyesha akiwa location wakati wa kutengeneza video mpya, zimemuonyesha akiwa amepigilia mapigo ambayo hawezi kutambulika kiurahisi na kumtoa mate kila kidume atakaye pitisha macho yake katika picha hizo.



Post a Comment

0 Comments