Ripoti: Usher Raymond aingia matatani

Ripoti: Usher Raymond aingia matatani


Msanii wa muziki kutoka Marekani, Usher Raymond kwa sasa amejikuta akiingia katika skendo chafu inayoweza kuharibu jina lake.


Kwa mujibu wa mtandao wa Radar Online, umesema muimbaji huyo alimlipa mtu ambaye alitambulika kama mbunifu wa mavazi yake kiasi cha dola milioni 1.1 Disemba 28, 2012 kwa kumuambukiza ugonjwa unasemekani ni wazinaa.

Mbunifu huyo wa mavazi alifungua kesi mjini Los Angles akimtuhumu muimbaji huyo kwa kumuambukiza ugonjwa huo na kupitia mwanasheria wake amesema, “Believing Raymonds statements that it had been nothing and cleared up, [she] continued her relationship.”

Hata hivyo Usher alijitetea kuwa mpenzi wake huyo ndio alikuwa ameuleta ugonjwa huo, na wakawa wanaendelea na mahusiano yako.

Haya ndio maelezo ya Usher katika kesi hiyo.




Post a Comment

0 Comments