Ruby afunguka A-Z kuhusu kuwa na mimba ya AliKiba (Video)

Ruby afunguka A-Z kuhusu kuwa na mimba ya AliKiba (Video)


Msanii wa muziki Ruby amefunguka kuzungumzia tuhuma ambazo zinasambaa katika mitandao ya kijamii kuwa ana mimba ya Alikiba.


Ruby amedai sio kweli kwamba ana mimba ya Alikiba huku akidai tayari ameshazoea kuzushiwa mambo mengi kupitia mitandao ya kijamii.

Post a Comment

0 Comments