Super Soul Sunday: Nukuu za watu maarufu kuhusu hekima

Super Soul Sunday: Nukuu za watu maarufu kuhusu hekima


Kama ilivyokawaida kila Jumapili nakusongezea hizi nukuu saba kutoka kwa watu ambao wamefanya mambo makubwa au ya kipekee katika dunia hii. Nukuu za leo zimelenga kukupa mambo kadhaa kuhusu hekima.


  1. Hekima huwa ni moja tu, bila kujali jaribu tena – Jacob Gelt Dekker.
  2. Kuitunza siri yako ni hekima, bali kuacha wengine kufanya hivyo ni upumbavu – Samuel Johnson.
  3. Si kweli muda wote umri huleta hekima, kwa kuwa wakati mwingine umri huja pekee yake – Unknown.
  4. Hekima sio matokeo ya shule, bali ni jaribio la muda mrefu la kuipata – Albert Einstein.
  5. Tunahukumu hekima ya mtu kwa kuangalia tumaini lake – Ralph Waldo Emerson.
  6. Ukweli ni sura ya kwanza katika kitabu cha hekima. Hebu tuwe na jitihada zetu za kustahili sifa za taifa letu – Thomas Jefferson
  7. Hekima ya uzima inahusisha uondoaji wa visivyo muhimu katika maisha yako –Lin Yutang.

  8. Shukrani, dondosha comment yako hapo chini kuelezea ni nukuu ipi imekubamba zaidi.

Post a Comment

0 Comments