UJENZI BARABARA ZA JUU UBUNGO WAANZA RASMI

UJENZI BARABARA ZA JUU UBUNGO WAANZA RASMI


Mafundi wakivuta nondo kwa ajili ya ujenzi wa barabara.
MRADI wa Ujenzi wa barabara za juu ((Interchange) Ubungo uliowekewa jiwe la msingi na Rais John Magufuli miezi kadhaa iliyopita umeanza kujengwa.

Nondo za ujenzi
Ujenzi huo unafanyika katika makutano ya Barabara za Morogoro, Nelson Mandela na Sam Nujoma.

Mafundi wakiwa kazini
Kamera yetu ya Global Publishers imefanikiwa kupata matukio mbalimbali yanayoonesha ujenzi huo ukiendelea kwa kasi kama inavyoonekana katika picha.

Ujenzi ukiendelea.
Mradi huo unalenga kupunguza msongamano wa magari katika barabara hizo.

Magari yakiwa kazini.

Post a Comment

0 Comments