Niyonzima afunguka uhusiano wake na Kabula

Niyonzima afunguka uhusiano wake na Kabula



Kabla ya Jini Kabula kuwa katika matatizo aliwahi kunukuliwa akisema aliwahi kuwa mapenzini na staa wa soka wa Simba SC, Haruna Niyonzima na kuzua mzozo kwenye mitandao ya kijamii kwa kuwa Niyonzima kwenye ndoa hivyo kumsababishia matatizo ndani ya familia yake.

Haruna Niyonzima kufunguka akisema hakuwahi kuwa mapenzini na msichana huyo licha ya kwamba kazungumza kwenye vyombo vya habari.

Aidha, kuhusu mkewe kulisikia hilo alisema haikuwa rahisi kuchukulia kawaida ingawa ni muelewa na alijaribu kuelewa jambo hilo.

Post a Comment

0 Comments