Papa Fransisco Atuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Ajali ya MV Nyerere

Papa Fransisco Atuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Ajali ya MV Nyerere



Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani baba mtakatifu Papa Fransisco ametuma salamu za Rambirambi kufuatia ajali ya kivuko cha MV Nyerere.


Katika salamu zake kupitia kwa Balozi wake nchini baba mtakatafu amewapata pole wote walioko katika majonzi na kuwapa moyo wote wanaotafuta ndugu ambao hawajaonekana


Amemuomba Mungu awajalie baraka, nguvu na faraja wote walioguswa na msiba huo

Post a Comment

0 Comments