Jay Z kuja na tour ya 4:44

Jay Z kuja na tour ya 4:44


Rapper Jay Z ametangaza ujio wa tour yake iliyobeba jina la albamu yake ya 4:44.


Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram wa Roc Nation, wameposti cover kuashiria hivi karibuni msanii huyo ataanza tour yake.


“Jay Z just announced the 4:44 Tour. Exclusive @TIDAL pre-sale starts today, 12pm ET: TIDAL.com #TIDALXSprint #444TOUR,” taarifa kutoka Roc Nation imeeleza.

4:44 ni moja ya albamu iliyotoka mwisho mwezi Juni yenye nyimbo 10 , siku tano baada ya kuingia sokoni kupitia mtandao wa TIDAL na Sprit iliweza kufika mauzo ya Platinum.

Post a Comment

0 Comments