Malengo ya Sugu ni kuajiri watu 5,000

Malengo ya Sugu ni kuajiri watu 5,000


Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop Bongo na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ameweka wazi malengo yake kwa miaka 10 ijayo.


Sugu ambaye ni Mkurugenzi wa Hotel Desderia Co Ltd amebainisha hayo kupitia mtandao wa Instagram ambapo katika kipindi hicho amelenga kutoa ajira zisizopungua 5,000.


Rapper turned the Employer # This year I will employ about 50 of my fellow citizens… My goal is to employ not less than 5,000 in the coming 10 years, Inshallah… #DEIWAKA #JONGWE #MVMP

March mwaka jana Sugu aliweka wazi kuanza kwa ujenzi wa Hoteli yake yenye hadhi ya nyota tatu chini ya kampuni ya ukandarasi ya Home Africa Investment Co Ltd ya China.

Post a Comment

0 Comments