Hivi karibuni kumekuwa na stori ambayo inaendelea kwenye mitandao kuhusu Meneja Babu Tale kudili na Diamond Platnumz kuliko Tip Top Connection…sasa new story ni kwamba kajibu tuhuma hizo na kuweka wazi juu ya collabo ya msanii wa Nigeria Tekno na Madee.
“Binadamu kulalamika ni kitu cha kawaida sana. Mimi na Tip Top Connection sipo nao kama zamani njia ya kutoa nyimbo lakini Tunda Man anapotaka kuachia nyimbo zake lazima anipigie simu mimi, hata Dogo Janja. Ningependa kusema sasa hivi tunamaliza maandalizi ya video ya Tekno wa Nigeria na Madee.” – Babu Tale.
0 Comments