Picha 8: Eric Omondi kuja na Untamed 10

Picha 8: Eric Omondi kuja na Untamed 10


Kila kukicha mchekeshaji kutoka nchini Kenya, Eric Omondi anaeendelea kuwavunja mbavu mashabiki wake.


Safari hii mchekeshaji huyo amekuja na Untamed 10 itakayokuwa ikionyesha mambo ya manabii mbali mbali wa Mungu. Kupitia akaunti yake ya Instagram amepost picha akiwa katika utengenezaji wa filamu hiyo.

Hizi ni baadhi ya picha za filamu hiyo 






Post a Comment

0 Comments