Rapper kutoka Marekani, Jay Z ametangaza rasmi ziara yake mpya ya muziki ambayo inaitwa ‘4:44 Tour’.
Ziara hiyo inatarajiwa kuanza Octoba 27 na kufikia tamati Desemba 21 mwaka huu, kwa mujibu wa ukurasa wa Roc Nation kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram ziara hiyo itafanyika Marekani katika miji yake mikubwa kama Los Angles, Miami pia itahusisha nchi ya Canada katika mji wa Toronto.
Jina la tour hiyo limetokana na albamu yake aliyoitoa Juni 30 mwaka huu.
0 Comments