Mbunge Peter Msigwa amelijibu Jeshi la Polisi

Mbunge Peter Msigwa amelijibu Jeshi la Polisi


 
Saa kadhaa baada ya Jeshi la Polisi mkoani Iringa kumshikilia na baade kumuachia kwa dhamana Mbunge wa Iringa mjini Peter Msigwa akituhumiwa kutumia lugha na matamshi ya uchochezi katika katika mkutano wake wa hadhara enwo la mlandege mkoani humo, Basi Mbunge ameandika ujimbe huu kwenye ukurasa wake wa Twitter akieleza kuwa Jeshi la Polisi haliwezi kukpangia cha kusema

"Polisi hawawezi kunipangia nini cha kusema na wala sio majukumu Yao. Wamenikamata nikitimiza majukumu yangu ya kibunge! SITANYAMAZA!"

Post a Comment

0 Comments