Klabu ya Ruvu Shooting imefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1 – 0 dhidi ya Stand United mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliyopigwa dimba la Mabatini mkoani Pwani.

Msimamo baaa ya Ruvu Shooting kupata ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo wa leo dhidi ya Stand United, kila timu imebaki kwenye nafasi yake katika msimamo wa ligi kuu Tanzania Bara

0 Comments