Klabu ya Mbeya City inayoshiriki ligi kuu soka Tanzania Bara imetangaza rasmi jezi zake mpya zitakazo tumika msimu ujao wa 2017/18.
Mbeya City wameamua kuanika uzi huo mpya ambao warangi ya zambarau utakuwa kwaajili ya michezo ya nyumbani wakati mweupe utakuwa kwaajili ya ugenini.
Klabu ya Mbeya City ambayo ilimaliza nafasi ya 12 baada ya kuwa na alama 31 kwa sasa inadhaminiwa na kampuni ya Sportsmaster Tz na mtengenezaji wa vifaa vya klabu hiyo.
0 Comments