Benki M yawekwa chini ya uangalizi na BOT

Benki M yawekwa chini ya uangalizi na BOT



Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesimamisha shughuli zote za Benki M na kuiweka chini ya uangalizi wake kuanzia leo hii Agosti 2, 2018.

Benki Kuu imechukua uamuzi huo baada ya kubaini Benki M inaupungufu mkubwa wa ukwasi kinyume na sheria ya mabenki na taasisi za kifedha ya mwaka 2006.

Post a Comment

0 Comments