Wakati macho ya wapenzi wa soka duniani yakisubiri kutazama mtanange kati ya Klabu ya Everton na Gor Mahia kutoka Kenya, Wadau wa soka nchini Tanzania na na nchi jirani kama DR Congo na Kenya wanaendelea kumiminika Uwanja wa Taifa ili kushuhudia mtanange huo mubashara.
Tazama picha za Mashabiki, Wapenzi na Wadau wa Soka pamoja na muonekano mpya wa Uwanja.
PICHA NA BONGO5
0 Comments