Picha ya Amber Rose na Joe Budden yazua utata kwa mashabiki

Picha ya Amber Rose na Joe Budden yazua utata kwa mashabiki

Picha ya mwanamitindo Amber Rose na rapper Joe Budden ambayo wameipiga wakiwa wawili maeneo ya bafuni imezua utata mkubwa kwa mashabiki.


Budden ndio ameoneka kuipiga picha hiyo wakati walipokuwa maeneo hayo na kuiweka katika mtandao wa Instagram huku akiandika, “When you & @amberrose go in the men’s bathroom to have a private discussion on furthering the culture. .”


Hata hivyo baada ya utata kuonekana kuwa mkubwa kwa mashabiki, masaa saba baadae Amber aliweka picha hiyo hapo juu kwenye mtandao huo akiwa na mpenzi wake 21 Savage na kuandika, “I Love you soooo much .”

Post a Comment

0 Comments