SportPesa yaipa jeuri Hully City kumnyakuwa mchezaji wa Man United

SportPesa yaipa jeuri Hully City kumnyakuwa mchezaji wa Man United


Klabu ya soka ya Hull City ya Uingereza ambayo inadhaminiwa na kampuni ya SportPesa, imefanikiwa kumsajili mshambuliaji Faizer Campbell.


Hull City wamethibitisha taarifa hizo za kumnyakuwa mchezaji huyo kutoka Crystal Palace, kupitia mtandao wao wa Twitter kwa kuandika, “ | @FraizerCampbell had this message for @HullCity fans after becoming the newest addition to Leonid Slutsky’s squad #WelcomeBackFraizer.”


Mchezaji huy pia amewahi kuichezea Manchester United misimu mitatu kuanzia mwaka 2006 hadi 2009.

Post a Comment

0 Comments