Acha vita iendelee: Diamond atupa jiwe gizani

Acha vita iendelee: Diamond atupa jiwe gizani

Baada ya mchuano mkali kuendelea katika mtandao wa YouTube kati ya ‘Seduce Me’ ya Alikiba na ‘Zilipendwa’ ya WCB, Diamond amerudi tena na kutupa jiwe gizani.



Msanii huyo ameandika ujumbe kupitia mtandao wa Instagram ambao unaonyesha kuwalenga baadhi ya maadui zake ambao wamekuwa wakiyapinga mafanikio yake.



“Ka diamondi kenyewe basi, kadogodogooo tokea Tandale… sema kanavyo washuhurisha watu na Midevu yao😃😃… Hadi raha…..😃 #ZILIPENDWA,” ameandika Diamond katika mtandao huo.

Post a Comment

0 Comments