Rapper Moni Centrozone ameamua kujirudi klupitia mtandao wa Instagram kwa kumtaka Roma Mkatoliki wayamalize matatizo yao.
Moni alimtuhumu Roma kwa kuwageuka kufuatia kutoa siri za utekwaji wao uliofanyika miezi kadhaa nyuma kwa kuzielezea kupitia ngoma ya ‘Zimbabwe’ aliyoitoa wiki mbili zilizopita na kufanya vizuri sehemu mbalimbali.
“#Mimi Mdogo Wako Tu. Hata Ukinipunguza #Nakukubali Sana. #TongweRecordsForever #UsimsahauMchizi #MatangoPori #TunaishiNao Videos #LinkInMyBio ,” ameandika Moni kwenye mtandao huo.
0 Comments