STAA ALIKIBA, DIAMOND, LULU NA FLAVIANA WATAJWA 100 BORA YA VIJANA AFRIKA

STAA ALIKIBA, DIAMOND, LULU NA FLAVIANA WATAJWA 100 BORA YA VIJANA AFRIKA




Posted by Williammalecela.com on Tuesday, August 29, 2017






Tuzo za VIJANA 100 WA AFRIKA wenye ushawishi mkubwa kwa jamii kwa mwaka 2017 zimeiachia orodha ya vijana wa mataifa mbalimbali waliochaguliwa kuwania ambapo orodha inaendelea kutajwa na mpaka sasa Watanzania wanne wametajwa.

Watanzania hao ni Waimbaji Alikiba, Diamond Platnumz, MwanamitindoFlaviana Matata na Mwigizaji Lulu… wengine ambao wametajwa tayari wanatokea kwenye mataifa ya South Africa, Libya, Ghana na Nigeria.




.


 
 

Post a Comment

0 Comments