TFF yaingia mkataba wa mamilioni na KCB Bank (Picha)

TFF yaingia mkataba wa mamilioni na KCB Bank (Picha)


Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania ‘TFF’ limeingia mkataba wa mwaka mmoja na Bank ya KCB wenye gharama ya shilingi za kitanzania 325,000,000.


Mapema hii leo rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia ameingia makubaliano na Banke hiyo ya Kenya ya kuidhamini Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mkataba wa mwaka mmoja wenyethamani ya milioni 325,000,000.

Post a Comment

0 Comments