Familia ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete yapatwa na msiba mzito

Familia ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete yapatwa na msiba mzito


Baba mzazi wa mke wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Bi. Salma Kikwete, mzee Rashid Mkwachu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.

Taarifa iliyotolewa jana Alhamisi Julai 19, 2018 na mbunge Chalinze (CCM), Ridhiwani Kikwete kwa niaba ya familia, imesema shughuli za mazishi zitakuwa Msasani nyumbani kwa familia ya Kikwete, huku akieleza ratiba ya mazishi.

Post a Comment

0 Comments